Kenya Satellite News NetworkVIDEO: How ivory trade is fueling terrorism in Kenya

 Breaking News

VIDEO: How ivory trade is fueling terrorism in Kenya

VIDEO: How ivory trade is fueling terrorism in Kenya
April 24
18:17 2017

[IN SWAHILI] Utafiti unaonyesha kwamba uwindaji haramu wa pembe za ndovu katika eneo la maziwa makuu unachangia pakubwa ufadhili wa vitendo vya ugaidi ambavyo vimesababisha mauaji ya wananchi wasio na hatia kwa siku za hivi karibuni. Kenya ni moja ya nchi zilizoathiriwa na hali hii.

Kiongozi anayesakwa wa kikundi haramu cha the Lord’s Resistance Army, Joseph Kony, anaendelea kujifaidi kutokana na ulanguzi na uuzaji wa pembe hizo za ndovu na vifaru.

BMJ Muriithi ambaye ameandaa taarifa ifuatayo:

 

 

4018 Total Views 3 Views Today
READ ALSO:   Kenyan woman dies after fight with her husband 'over a phone call by another lady'
Share

About Author

KSN Reporter

KSN Reporter

Related Articles

0 Comments

No Comments Yet!

There are no comments at the moment, do you want to add one?

Write a comment

Write a Comment

Your email address will not be published.
Required fields are marked *

ARE YOU LOOKING FOR A KENYAN COMMUNITY CHURCH IN AND AROUND ATLANTA, GEORGIA?

wamutitu

2016 Calendar

April 2017
M T W T F S S
    May »
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
poapay3

NEWS TRENDING RIGHT NOW

Who’s online?

error: Content is protected !!