Kenya Satellite News NetworkPHOTO and VIDEO: Governor Mutua’s wife’s short shorts cause a stir on Instagram, leave Team Mafisi men drooling

 Breaking News

PHOTO and VIDEO: Governor Mutua’s wife’s short shorts cause a stir on Instagram, leave Team Mafisi men drooling

PHOTO and VIDEO: Governor Mutua’s wife’s short shorts cause a stir on Instagram, leave Team Mafisi men drooling
August 25
13:58 2017

[In swahili] Mke wa Gavana Alfred Mutua wa Machakos Lilian Nganga alitokelezea akiwa amevaa kinyasa ambacho huenda kiliamsha hisia za baadhi ya wanaume. Gazeti la Tuko.co.ke limeripoti kuwa  Lilian ni mmoja wa wake warembo sana kwa wanasiasa nchini.

Wakati huo huo, timu Mafisi imenukuliwa ikisema kuwa gavana wa Machakos Alfred Mutua ni mmoja wa watu walio na bahati ulimwenguni kwa kuwa na mmoja wa wake warembo kupita kiasi.

“Hapo hatuwezi kukaribia lakini kwa kusema kweli mavazi kama hayo yanafanya tudodokwe na mate si haba,’ aliandika Moses Mugo ambaye alijitambulisha kwa umtandao wa Facebook kama mwanchama halisi na sugu wa Team Mafisi ya Kenya.

Hivi majuzi, Mutua aliapishwa kama gavana wa Machakos kwa muhula wa pili baada ya kushinda uchaguzi.

Kando yake katika safari hiyo alikuwa mkewe Lilian, ambaye ameonekana kumpenda na kumuunga mkono katika kazi yake.

Lilian hivi majuzi alishangaza watu kwa kutokea akiwa amevalia kinyasa kifupi sana, siku moja baada ya mutua kuapishwa kwa mara ya pili .

‘Inaonekana mapenzi kati yao ni mengi kwa kuzingatia picha za kimapenzi ambazo huweka katika mitandao ya kijamii,” liliandika gazeti la Tuko baada ya picha ya Lilian kujitokeza kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.

Wawili hao walikuwa wametoka nje kwa chakula cha jioni kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa gavana huyo.

 

14892 Total Views 3 Views Today

About Author

KSN Reporter

KSN Reporter

Related Articles

0 Comments

No Comments Yet!

There are no comments at the moment, do you want to add one?

Write a comment

Write a Comment

Your email address will not be published.
Required fields are marked *

ARE YOU LOOKING FOR A KENYAN COMMUNITY CHURCH IN AND AROUND ATLANTA, GEORGIA?

wamutitu

2016 Calendar

August 2017
M T W T F S S
« Jul   Sep »
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031  
poapay3

NEWS TRENDING RIGHT NOW

Who’s online?

error: Content is protected !!